TAKUKURU na Polisi waaswa kufanyia kazi taarifa za rushwa zinazotolewa na wananchi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akikata utepe kuzindua rasmi Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani  inayohusisha TAKUKURU, Jeshi la Polisi na Wadau mWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akikata utepe kuzindua rasmi Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani inayohusisha TAKUKURU, Jeshi la Polisi na Wadau m

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akikata utepe kuzindua rasmi Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani  inayohusisha TAKUKURU, Jeshi la Polisi na Wadau mbalimbali, uzinduzi  huo uliofanyika jana  katika  Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.