TAKUKURU na Polisi waaswa kufanyia kazi taarifa za rushwa zinazotolewa na wananchi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi na wadau (hawapo pichani) waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani  inWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi na wadau (hawapo pichani) waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani in

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi na wadau (hawapo pichani) waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani  inayohusisha TAKUKURU, Jeshi la Polisi na Wadau mbalimbali, uliofanyika jana katika  Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.