Taasisi za kifedha zaithibishia Serikali kutoa mikopo kupitia hatimiliki za kimila

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa Hatimiliki ya Kimila kwa mmoja wa Wananchi wa Kijiji cha Inzomvu, Wilayani Mpwawa jana wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa Hatimiliki ya Kimila kwa mmoja wa Wananchi wa Kijiji cha Inzomvu, Wilayani Mpwawa jana wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua ut

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa Hatimiliki ya Kimila kwa mmoja wa Wananchi wa Kijiji cha Inzomvu, Wilayani Mpwawa jana wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi yaMpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania (MKURABITA).