Serikali yaweka mkakati kuhakikisha wanufaika wa TASAF wanapata ruzuku stahiki na kwa wakati

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Kijiji cha Magata, wilayani Muleba mkoani Kagera wakati wa ziara ya kikazi yenye lengo la kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF.