Serikali yatoa hatimiliki za kimila 100 kwa wananchi wa kijiji cha mbondo wilayani Nachingwea

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwanne Mchemba (Mb) akitoa wito kwa wananchi wa kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea kuchangamkia fursa ya hatimiliki za kimila wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Lindi.