Serikali yatoa hatimiliki za kimila 100 kwa wananchi wa kijiji cha mbondo wilayani Nachingwea

Wananchi wa kijiji cha Mbondo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason Rweikiza (Mb) alipokuwa akizungumza nao juu ya umuhimu wa hatimiliki za kimila wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Lindi.