Serikali yapiga marufuku walengwa wa TASAF kulazimishwa kuchangia bima za afya na michango ya kijami

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) akijibu swali la Mbunge wa Bahi, Mhe. Omary Ahmed Badwel Bungeni, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora lililohusu  Utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika vijiji vyote nchini.