Serikali kuboresha mifumo ya Ufuatiliaji na Tathmini ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa

Mkurugenzi wa Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Hassan Kitenge akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya wadau yenye lengo la kuwajengea uwezo wa Ufuatiliaji na Tathmini watendaMkurugenzi wa Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Hassan Kitenge akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya wadau yenye lengo la kuwajengea uwezo wa Ufuatiliaji na Tathmini watenda

Mkurugenzi wa Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Hassan Kitenge akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya wadau yenye lengo la kuwajengea uwezo wa Ufuatiliaji na Tathmini watendaji wa Serikali yaliyofanyika jijini Dodoma.