Serikali inatambua na kuthamini mchango wa watumishi wa umma katika kuleta maendeleo ya nchi

Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya Manispaa ya Lindi.