Mkuchika awapongeza watumishi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma kwa kutoa msaada kwa watoto yatima

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (aliyesimama) akiwa katika kikao kazi na watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma na Halmashauri ya Wilaya ya Songea kilichofanyika mjini Songea kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao.