Mhe. Mkuchika awahimiza waumini wa kikristo kuchangia huduma za kijamii kwa maendeleo ya taifa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akizungumza wakati wa ibada ya kuwawekea mikono Mashemasi na Makasisi wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Kondoa iliyofanyika katika kanisa la Mchungaji Mwema, Wilayani Kondoa.