Mfumo wa “AJIRA PORTAL” kukabiliana na changamoto ya upendeleo wa ajira serikalini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa  serikali baada ya kufungua mafunzo ya mfumo mpya waWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa serikali baada ya kufungua mafunzo ya mfumo mpya wa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa  serikali baada ya kufungua mafunzo ya mfumo mpya wa “Ajira Portal” kwa Maafisa Rasilimaliwatu jijini Dodoma.  Wengine ni Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi  (kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ACP Ibrahim Mahumi (kushoto).