Dkt. Mwanjelwa awataka wanufaika wa TASAF wenye nguvu wafanye kazi badala ya kusubiri ruzuku

Mmoja wa Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa  kijiji cha Burugo, Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera Bi. Agnes Kemilembe akitoa ushuhuda wa namna alivyotumia ruzuku kuboresha makazi yake kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb).