News and Events

Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri nchini watakiwa kuhakikisha fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Ma

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akiwahimiza wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kuzitumia vizuri ruzuku wanayoipata.

Read more

Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri nchini watakiwa kuhakikisha fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Ma

Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa kijiji cha Namela Manispaa ya Mtwara wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason Rweikiza (Mb) alipokuwa akizungumza nao…

Read more

Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri nchini watakiwa kuhakikisha fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Ma

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason Rweikiza (Mb) akizungumza na wananchi na wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa kijiji cha Namela Manispaa ya Mtwara wakati wa ziara…

Read more

Serikali yatoa hatimiliki za kimila 100 kwa wananchi wa kijiji cha mbondo wilayani Nachingwea

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwanne Mchemba (Mb) akitoa wito kwa wananchi wa kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea kuchangamkia fursa ya hatimiliki za kimila wakati…

Read more

Serikali yatoa hatimiliki za kimila 100 kwa wananchi wa kijiji cha mbondo wilayani Nachingwea

Wananchi wa kijiji cha Mbondo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason Rweikiza (Mb) alipokuwa akizungumza nao juu ya umuhimu wa hatimiliki za kimila wakati wa ziara…

Read more

Serikali yatoa hatimiliki za kimila 100 kwa wananchi wa kijiji cha mbondo wilayani Nachingwea

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akieleza azma ya serikali ya kuwainua wanyonge kwa kuwapatia hatimiliki za kimila ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Read more

Serikali yatoa hatimiliki za kimila 100 kwa wananchi wa kijiji cha mbondo wilayani Nachingwea

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason Rweikiza (Mb) akitoa hatimiliki za kimila kwa mmoja wa wananchi wa kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea wakati wa ziara ya kamati yake ya…

Read more

Serikali yatoa hatimiliki za kimila 100 kwa wananchi wa kijiji cha mbondo wilayani Nachingwea

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakitoka kukagua jengo la masijala ya ardhi kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea linalojengwa kupitia MKURABITA wakati wa ziara ya kamati hiyo yenye lengo…

Read more