yaipongeza serikali kwa kuleta maendeleo na kutoa ushirikiano katika huduma za kijamii nchini

Askofu wa Dayosisi ya Kusini, Awamu ya Sita Dkt. George Mark Fihavango akiipongeza Serikali kwa kuleta maendeleo nchini mara baada ya kusimikwa kuwa askofu wa Dayosisi hiyo katika Ibada takatifu iliyofanyika Mjini Njombe na kuongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Frederick Shoo (hayupo pichani).