Waziri Mkuchika azitaka taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais kuwa mfano wa kuigwa kiutendaji na kim

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifafanua hoja za Watumishi Waandamizi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa chuo hicho. Kushoto ni Katibu Mkuu-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro.