Watumishi wa umma katika Halmashauri watakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia weledi

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (aliyesimama)  akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara na  Kilombero (pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani humo yenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma nchini.