UZINDUZI WA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU YA TASAF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Marais Wastaafu wa Awamu ya Pili, Tatu na Nne wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakionyesha Mpango wa Utekelezaji wa TASAF baada ya Rais Magufuli kuzindua Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Ikulu na Mwenyekiti wa TASAF Dkt. Moses Kusiluka.