TAKUKURU yatakiwa kudhibiti rushwa katika Vyama vya Ushirika

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma.