TAKUKURU yatakiwa kudhibiti rushwa katika Vyama vya Ushirika

Baadhi ya viongozi wa TAKUKURU wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi hao uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma.