TAKUKURU na Polisi waaswa kufanyia kazi taarifa za rushwa zinazotolewa na wananchi

Baadhi ya wananchi na wadau waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani inayohusisha TAKUKURU na Jeshi la Polisi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst),Baadhi ya wananchi na wadau waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani inayohusisha TAKUKURU na Jeshi la Polisi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst),

Baadhi ya wananchi na wadau waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya UTATU ya kupambana na rushwa ya barabarani inayohusisha TAKUKURU na Jeshi la Polisi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (hayupo pichani) kabala ya waziri huyo kuzindua ramsi kampeni hiyo jana katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.