SERIKALI YAPITIA RASIMU YA MUONGOZO WA KUANDAA MPANGO WA RASILIMALIWATU KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Mkurugenzi wa Uendelezaji Sera Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Agnes Meena akifungua kikao kazi cha wadau cha kupitia Rasimu ya Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu MkuuMkurugenzi wa Uendelezaji Sera Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Agnes Meena akifungua kikao kazi cha wadau cha kupitia Rasimu ya Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu

Mkurugenzi wa Uendelezaji Sera Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Agnes Meena akifungua kikao kazi cha wadau cha kupitia Rasimu ya Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro katika ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Dodoma.