Serikali yafanya mkutano wa ushawishi na utetezi wa masuala ya watu wenye ulemavu

Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Leila Mavika akitoa ufafanuzi kuhusu ushawishi na utetezi wa masuala ya watu wenye ulemavu katika ngazi ya wizara kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora jijini Dodoma.