SERIKALI KUTOA MWONGOZO WA UJUMUISHAJI WA MASUALA YA JINSIA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Mmoja wa washiriki (aliyesimama) wa  kikao  kazi cha siku mbili kilichojadili na kutoa mapendekezo ya kuboresha Rasimu ya Mwongozo wa Ujumuishaji wa Masuala ya Jinsia katika Utumishi wa Umma akitoa mchango wake katika kikao kazi hicho, kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini DODOMA