SERIKALI KUTOA MWONGOZO WA UJUMUISHAJI WA MASUALA YA JINSIA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao kazi cha siku mbili kilichojadili na kutoa mapendekezo ya kuboresha Rasimu ya Mwongozo wa Ujumuishaji wa Masuala ya Jinsia katika Utumishi wa Umma, mara baada ya kufunga rasmi kikao kazi hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini DODOMA