Ofisi ya rais-Utumishi yaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kufanya usafi wa mazingira

Baadhi ya watumishi  wa  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifanya usafi katika ofisi yao iliyopo Mji wa Serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma  ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2019.