Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt. (Mst) George Mkuchika (Mb) akitia saini katika kitabu cha Maombolezo ya Msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Jijini Dar es Salaam.