Kamishna wa Tume ya Maadili na Kuzuia Rushwa nchini Kenya atembelea Ofisi ya Rais Utumishi

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi, ACP Ibrahim Mahumi akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Tume ya Maadili na Kuzuia Rushwa nchini Kenya, Bibi Rose M. Machaira mara baada ya kikao kilichofanyika tarehe 18/11/2019 Ofisi ya Rais Utumishi, Mtumba, jijini Dodoma. Wengine ni Watendaji kutoka Ofisi ya Rais, Utumishi, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Tume ya Maadili na Kuzuia Rushwa-Kenya.