Dkt. Ndumbaro amuelekeza DED Sengerema kumfungulia mashtaka mtumishi kwa kujipatia fedha kitapeli

Mkurugezi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Bw. Ibrahimu Mahumi akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Katibu Mkuu Utumishi ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma wilayani humo.