Dkt. Mwanjelwa awataka wahitimu wa TPSC kuwa waadilifu, wachapakazi na wazalendo wanapotekeleza maju

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na baadhi ya wahitimu wa mahafali ya 30 ya chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Mtwara.