Maktaba ya picha

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika kitaifa  tarehe 26/11/2019 kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa kwenye sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika kitaifa tarehe 26/11/2019 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika kitaifa 26/11/2019 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodom