Serikali yaweka mkakati kuhakikisha wanufaika wa TASAF wanapata ruzuku stahiki na kwa wakati

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Kijiji cha Magata, wilayani Muleba mkoani Kagera…

Soma zaidi

Serikali yaweka mkakati kuhakikisha wanufaika wa TASAF wanapata ruzuku stahiki na kwa wakati

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akiwa na moja ya familia ya mnufaika wa TASAF katika Kijiji cha Magata wilayani Muleba ambaye alipata ulemavu wa…

Soma zaidi

Dkt. Mwanjelwa awataka wanufaika wa TASAF wenye nguvu wafanye kazi badala ya kusubiri ruzuku

Mmoja wa Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa  kijiji cha Burugo, Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera Bi. Agnes Kemilembe akitoa ushuhuda wa namna alivyotumia ruzuku kuboresha makazi yake kwa…

Soma zaidi

Dkt. Mwanjelwa awataka wanufaika wa TASAF wenye nguvu wafanye kazi badala ya kusubiri ruzuku

Baadhi ya Wananchi na Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika katika kijiji cha Lukindo kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi…

Soma zaidi

Waajiri nchini watakiwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu wanapowasilisha taarifa za kiutumishi

Baadhi ya Watumishi wa Umma mkoani Kagera wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi chenye lengo la kuhimiza…

Soma zaidi

Waajiri nchini watakiwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu wanapowasilisha taarifa za kiutumishi

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Watumishi wa Umma wa Mkoa wa Kagera (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi na watumishi hao chenye…

Soma zaidi

Serikali yawaasa wananchi kutotumia dawa za kulevya ili kulinda nguvukazi ya Taifa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita…

Soma zaidi

Serikali yawaasa wananchi kutotumia dawa za kulevya ili kulinda nguvukazi ya Taifa

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa…

Soma zaidi