Serikali yawaasa wananchi kutotumia dawa za kulevya ili kulinda nguvukazi ya Taifa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiteta jambo na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu…

Soma zaidi

Watunza Kumbukumbu na Maafisa Rasilimaliwatu watakiwa kuzingatia uadilifu katika utunzaji kumbukumbu

Baadhi ya Washiriki wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (hayupo pichani) alipokuwa akifungua kikao kazi cha siku tatu cha Watunza Kumbukumbu…

Soma zaidi

Watunza Kumbukumbu na Maafisa Rasilimaliwatu watakiwa kuzingatia uadilifu katika utunzaji kumbukumbu

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael akiwa katika kikao kazi cha siku tatu cha Watunza Kumbukumbu na Maafisa Rasilimaliwatu Serikalini chenye lengo la kujadili…

Soma zaidi

Ofisi ya rais-Utumishi yaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kufanya usafi wa mazingira

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa ofisi yake mara baada ya watumishi hao kukamilisha zoezi la usafi wa mazingira eneo la Mtumba jijini Dodoma…

Soma zaidi

Ofisi ya rais-Utumishi yaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kufanya usafi wa mazingira

Baadhi ya watumishi  wa  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifanya usafi katika ofisi yao iliyopo Mji wa Serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma  ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho…

Soma zaidi

Dkt. Mwanjelwa ashangazwa na Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kutoa kiwanja kwa wajasiriamali

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akimsikiliza Mwenyekiti wa kikundi cha utengenezaji wa milango na madirisha ya chuma, Bw. Abdallah Chunga alipofanya…

Soma zaidi

Dkt. Mwanjelwa ashangazwa na Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kutoa kiwanja kwa wajasiriamali

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Steven Kebwe alipomtembelea ofisini kwake kabla kuanza ziara…

Soma zaidi

Mhe. Mkuchika awahimiza waumini wa kikristo kuchangia huduma za kijamii kwa maendeleo ya taifa

Baadhi ya Mashemasi na Makasisi wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Kondoa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) (hayupo…

Soma zaidi