Sweden yaipongeza Tanzania kwa kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akimkaribisha Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Anders Sjoberg alipotembelea Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania…

Soma zaidi

Sweden yaipongeza Tanzania kwa kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Anders Sjoberg wakishuhudia jinsi mashine ya kupiga chapa inavyofanya kazi…

Soma zaidi

yaipongeza serikali kwa kuleta maendeleo na kutoa ushirikiano katika huduma za kijamii nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika ibada ya kumsimika…

Soma zaidi

yaipongeza serikali kwa kuleta maendeleo na kutoa ushirikiano katika huduma za kijamii nchini

Askofu wa Dayosisi ya Kusini, Awamu ya Sita Dkt. George Mark Fihavango akiipongeza Serikali kwa kuleta maendeleo nchini mara baada ya kusimikwa kuwa askofu wa Dayosisi hiyo katika Ibada takatifu iliyofanyika Mjini…

Soma zaidi

Serikali kuzipatia ruzuku kaya zote maskini nchini baada ya kuridhishwa na wanufaika wa TASAF

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nangombo wilayani Nyasa katika ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma…

Soma zaidi

Serikali kuzipatia ruzuku kaya zote maskini nchini baada ya kuridhishwa na wanufaika wa TASAF

Baadhi ya wananchi na wanufaika wa TASAF wa kijiji cha Nangombo wilayani Nyasa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Hayupo pichani)…

Soma zaidi

Mkuchika awapongeza watumishi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma kwa kutoa msaada kwa watoto yatima

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akikabidhi msaada wa fedha taslimu na mahitaji kwa mlezi wa kituo cha Swako cha kulea watoto yatima,…

Soma zaidi