Maswali na Majibu

Je,inawezekana kuwepo kwa tofauti ya fomu za OPRAS kwa kada?

 Inawezekana kuwapo kwa tofauti ya fomu za Upimaji Utendaji Kazi wa Wazi (OPRAS) kwa kada.Kwa mfano tayari Walimu wanayo fomu ya OPRAS inayoendana na matakwa ya kada yao.